MCHANGANUO WA BIASHARA TUMAINI POULTRY PRODUCTION

 

MCHANGANUO WA BIASHARA

 

TUMAINI POULTRY PRODUCTION

 

Kuku wa nyama 2000

 

KIROMO - BAGAMOYO ROAD

 

2022 – 2023

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Umeandaliwa na:

Tumaini  Masanja

S.L.P

Dar es salaa.

Simu: 0765553030

 

YALIYOMO

 

1.0 MUHTASARI TENDAJI............................................................................03 3

1.1 Dhamira Kuu.................................................................................................04

1.2 Maono............................................................................................................04

1.3 Malengo.........................................................................................................04. 4

2.0 Maelezo ya Kampuni.....................................................................................05 5

3.0 MAOMBI YA MKOPO.................................................................................06.. 6

4.0 MAELEZO YA BIDHAA..............................................................................07.. 7

5.0 TATHMINI YA SOKO...................................................................................07.. 7

5.2 Sekta ya Kuku................................................................................................08. 8

5.3 Mahitaji ya Soko............................................................................................08. 8

6.0 MPANGO WA UENDESHAJI......................................................................08 8

7.0 UONGOZI......................................................................................................11 11

8.0 MPANGO WA FEDHA..................................................................................11.. 11

8.1 Makisio Muhimu............................................................................................12. 12

8.2 Mahitaji..........................................................................................................12 12

8.3 Makisio ya Faida na Hasara...........................................................................14. 14

 HITIMISHO......................................................................................................14.. 14


MUHTASARI TENDAJI

Kampuni ya Tumaini Poultry Production inalenga kuongeza uzalishaji wake wa kuku wa nyama kwa kuomba mkopo wa benki shilingi milioni 5 utakaorejeshwa ndani ya mwaka mmoja ikiwa na dira ya kuwa mzalishaji bora zaidi wa kuku kandokando ya barabara ya Bagamoyo eneo lenye vivutio vingi vya utalii na hoteli za nyota 5

Mmiliki wake Bwana Tumaini Masanja alianzisha kampuni hii miaka 2 iliyopita katika eneo la Kiromo lililopo kandokando  ya barabaraya Bagamoyo akianza na vifaranga wa siku moja 1000 katika mzunguko wa siku 44. Kutokana na ukuaji wa kasi wa soko letu lengwa tumeshuhudia ufinyu wa mtaji, hivyo mkopo wa benki tunaouomba tutanunulia vifaranga wa nyongeza 1000, vyakula vya kuku hao na vilishio 50.

Tunayalenga hasahasa makundi makuu 3 ya wateja ambayo ni Mahoteli & Migahawa, Supermarketi na Machinjio ya kuku. Mahitaji ya nyama ya kuku Tanzania sasa hivi yapo juu kutokana na Serikali kuweka zuio la uingizaji mazao ya kuku kutoka nje ya nchi.

Uzalishaji utafanyika kwa mzunguko na idadi ya mizunguko kwa mwaka ni 8 ukizingatia kipindi cha uzakishaji cha siku 32 na siku 12 za usafi wa mabanda kabla mzunguko mpya kuanza. Msimamizi mkuu wa mradi ni Bwana Tumaini akisaidiwa na wafanyakazi 2 watakaolipwa kila mmoja shilingi laki 1 kwa kila mzunguko mmoja

Jumla ya mahitaji yote ni shilingi milioni12, mauzo ya mwaka shilingi milioni 104.4 na faida halisi shilingi milioni 8.2. Hivyo mradi huu una faida na mkopo utaweza kurejeshwa bila matatizo ndani ya mwaka mmoja.

Kwa Ufupi

1.1 DHAMIRA KUU.

0 Response to "MCHANGANUO WA BIASHARA TUMAINI POULTRY PRODUCTION"

Post a Comment